Hakuna watu wenye upendo, umoja na kusaidiana kama wanywa pombe

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Ijalishi ni msikitini, kanisani, kwa profesa janabi, serikalini, kazini, mitaani na n.k

Ila wanywa pombe ni watu ambao wanaumoja kwenye mambo yao kuliko hawa wasiotumia.

Leo jioni mtu anajigamba kuninunulia kahawa elfu moja yani ilivyo chungu halafu hakuna la maana kazi kusema watu na kudanganyana.
 
Mbona mada za pombe zimeshamiri sana
 
Katika jamii nyingi za kiafrika, pombe imekuwa ikitumika kurejesha amani, mahusiano, kuposa mke, kutibu na katika tafrija mbalimbali. Muhimu itumiwe kwa kiasi..!
 
Katika jamii nyingi za kiafrika, pombe imekuwa ikitumika kurejesha amani, mahusiano, kuposa mke, kutibu na katika tafrija mbalimbali. Muhimu itumiwe kwa kiasi..!
Ushasikia mnywa soda au kahawa kapanda juu ya kisturi maana hizi sehemu hakuna meza za kuchezea mapiano. Kahawa ilivyo chungu lazima uwe na uchungu wa roho mbaya na wanywa soda sukari nyingi mpaka imfanya dokta janabi kukosa nywele
 
Hili halipingiki ni jadi yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…