Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi sasa hapo kosa la watazamaji au huyo mdada wife material kucheza kulingana na mazingira.Huko Simiyu wife material ni mwanamke:
Anayevaa nguo ndefu, anapiga magoti akisalimia, anaenda kanisani, anafua, anapika na kusafisha nyumba.
Huku Dar huyo ni house maid a.k.a 'Dada' kama wasemavyo watoto wa kishua.