Hakuna wife material mwenye miaka zaidi ya 25 ambaye hajaolewa

Huko Simiyu wife material ni mwanamke:
Anayevaa nguo ndefu, anapiga magoti akisalimia, anaenda kanisani, anafua, anapika na kusafisha nyumba.
Huku Dar huyo ni house maid a.k.a 'Dada' kama wasemavyo watoto wa kishua.
Uko sahihi sasa hapo kosa la watazamaji au huyo mdada wife material kucheza kulingana na mazingira.
Haya tupe wife material wa Daslam wana sifa zipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…