Uchaguzi 2020 Hakuna zaidi ya Dkt. Kimei jimbo la Vunjo 2020

Uchaguzi 2020 Hakuna zaidi ya Dkt. Kimei jimbo la Vunjo 2020

SautiYaMnyonge

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2018
Posts
439
Reaction score
742
Hakuna ubishi kwamba pamoja na kubaki siku 36 kuhitimisha kampeni na kuacha zoezi la upigaji kura kufanyika mgombea ubunge jimbo la Vunjo kwa tiketi ya CCM Dkt. Charles Kimei amekuwa kinara wa siku za awali mpaka sasa...

#ChaguaCCM
#ChaguaMagufuli
#ChaguaKimei
IMG_20200921_164401_092.jpg
IMG_20200921_175924_293.jpg
IMG_20200921_175906_464.jpg
IMG_20200921_180036_158.jpg
IMG_20200921_165951_137.jpg
IMG_20200921_130200_675.jpg
IMG-20200912-WA0126.jpg
 
Attachments

  • IMG_20200921_162423_681.jpg
    IMG_20200921_162423_681.jpg
    170.8 KB · Views: 3
Mengi tu ndiye alikuwa ang'aaa utajua ana pesa hawa wengine shida iko wapi mbona mliiba sana lakini mmechoka kama wastaafu... najisemesha tu
Kwani vunjo ni yeye tu au kuna pingamizi kwani mbatia yupo kweli?
 
Hakuna ubishi kwamba pamoja na kubaki siku 36 kuhitimisha kampeni na kuacha zoezi la upigaji kura kufanyika mgombea ubunge jimbo la Vunjo kwa tiketi ya CCM Dkt. Charles Kimei amekuwa kinara wa siku za awali mpaka sasa....

#ChaguaCCM
#ChaguaMagufuli
#ChaguaKimeiView attachment 1576695View attachment 1576696View attachment 1576697View attachment 1576699View attachment 1576700View attachment 1576701View attachment 1576702
Kimei njaa kali sana. Pengine hapo alipo kavaa hirizi kiunoni.
 
Huu ni uchoyo na ubinafsi wa aina yake..Kimei anapoteza credibility aliyojijengea muda mrefu..angeachia damu mpya nayo ipate chochote angeheshimika zaidi.
Utasimulia....KIMEI ndio habari ya Vunjo kama ilivyo kwa Magufuli ndio habari ya Tanzania kwa urais!
 
Mengi tu ndiye alikuwa ang'aaa utajua ana pesa hawa wengine shida iko wapi mbona mliiba sana lakini mmechoka kama wastaafu... najisemesha tu
Kwani vunjo ni yeye tu au kuna pingamizi kwani mbatia yupo kweli?
KIMEI hana mpinzani Vunjo!
 
Kimei njaa kali sana. Pengine hapo alipo kavaa hirizi kiunoni.
Wenye njaa kali waliwachangisha pesa wananchi na kukimbia nazo.....sisi tunamfahamu KIMEI kama mcha Mungu achana na huyo yahaya anayetumia biblia kuwaongopea wananchi
 
Kimei anatosha Vunjo😍😍😍🙏
 
Huu ni uchoyo na ubinafsi wa aina yake..Kimei anapoteza credibility aliyojijengea muda mrefu..angeachia damu mpya nayo ipate chochote angeheshimika zaidi.
Kwanini usimwambie na mbowe awaachie wengine uwenyekiti wa chama. Maana huyo kuna watu wamezaliwa na mpaka sasa wanaoa jamaa bado ni mwenekiti.
 
Wenye njaa kali waliwachangisha pesa wananchi na kukimbia nazo.....sisi tunamfahamu KIMEI kama mcha Mungu achana na huyo yahaya anayetumia biblia kuwaongopea wananchi

Huyu ndio mcha mungu kanyweshwa mkojo wa punda naye akanywa

IMG_1600801765.151029.jpg
 
Mimi ni mmojawapo wa watu waliobahatika kuoa uchagani, na tena kutoka familia maarufu ya binti mrembo kutoka ktk jimbo hili la Vunjo. Nimetoka juzi kutoka ktk msiba wa shemeji yangu.

Kimei pengine tu kama angalisimama kupitia chama makini cha upinzani, hisia za machalii wa Vunjo hawamtaki kabisa kumsikia, pengine ingalikuwa yule ambaye alipitishwa na wajumbe.
 
Back
Top Bottom