SautiYaMnyonge
JF-Expert Member
- May 13, 2018
- 439
- 742
Kimei njaa kali sana. Pengine hapo alipo kavaa hirizi kiunoni.Hakuna ubishi kwamba pamoja na kubaki siku 36 kuhitimisha kampeni na kuacha zoezi la upigaji kura kufanyika mgombea ubunge jimbo la Vunjo kwa tiketi ya CCM Dkt. Charles Kimei amekuwa kinara wa siku za awali mpaka sasa....
#ChaguaCCM
#ChaguaMagufuli
#ChaguaKimeiView attachment 1576695View attachment 1576696View attachment 1576697View attachment 1576699View attachment 1576700View attachment 1576701View attachment 1576702
Utasimulia....KIMEI ndio habari ya Vunjo kama ilivyo kwa Magufuli ndio habari ya Tanzania kwa urais!Huu ni uchoyo na ubinafsi wa aina yake..Kimei anapoteza credibility aliyojijengea muda mrefu..angeachia damu mpya nayo ipate chochote angeheshimika zaidi.
KIMEI hana mpinzani Vunjo!Mengi tu ndiye alikuwa ang'aaa utajua ana pesa hawa wengine shida iko wapi mbona mliiba sana lakini mmechoka kama wastaafu... najisemesha tu
Kwani vunjo ni yeye tu au kuna pingamizi kwani mbatia yupo kweli?
Wenye njaa kali waliwachangisha pesa wananchi na kukimbia nazo.....sisi tunamfahamu KIMEI kama mcha Mungu achana na huyo yahaya anayetumia biblia kuwaongopea wananchiKimei njaa kali sana. Pengine hapo alipo kavaa hirizi kiunoni.
Kimei na Paschal Mayalla hawana tofauti mkuuHuu ni uchoyo na ubinafsi wa aina yake..Kimei anapoteza credibility aliyojijengea muda mrefu..angeachia damu mpya nayo ipate chochote angeheshimika zaidi.
Kama ndio hivyo basi kimei kwisha habari yakeUtasimulia....KIMEI ndio habari ya Vunjo kama ilivyo kwa Magufuli ndio habari ya Tanzania kwa urais!
Kwanini usimwambie na mbowe awaachie wengine uwenyekiti wa chama. Maana huyo kuna watu wamezaliwa na mpaka sasa wanaoa jamaa bado ni mwenekiti.Huu ni uchoyo na ubinafsi wa aina yake..Kimei anapoteza credibility aliyojijengea muda mrefu..angeachia damu mpya nayo ipate chochote angeheshimika zaidi.
Wenye njaa kali waliwachangisha pesa wananchi na kukimbia nazo.....sisi tunamfahamu KIMEI kama mcha Mungu achana na huyo yahaya anayetumia biblia kuwaongopea wananchi
Mhurumieni Mbatia jamaniHakuna ubishi kwamba pamoja na kubaki siku 36 kuhitimisha kampeni na kuacha zoezi la upigaji kura kufanyika mgombea ubunge jimbo la Vunjo kwa tiketi ya CCM Dkt. Charles Kimei amekuwa kinara wa siku za awali mpaka sasa...
#ChaguaCCM
#ChaguaMagufuli
#ChaguaKimeiView attachment 1576695View attachment 1576696View attachment 1576697View attachment 1576699View attachment 1576700View attachment 1576701View attachment 1576702
Jiwe ni habari kwa hao Mataga wenzio, ila si kwa Watanzania wanaojielewa( Exclusive you)Utasimulia....KIMEI ndio habari ya Vunjo kama ilivyo kwa Magufuli ndio habari ya Tanzania kwa urais!