Shayu
Platinum Member
- May 24, 2011
- 608
- 1,655
Leo siongei sana naongea kitu kifupi mno kwa wenye akili watanielewa. Ni kitu gani kinachofanya mataifa kuwa makubwa na kutawala mataifa mengine?
Ni uwezo wa mataifa hayo ku ''create'' . Mataifa yale ambayo wameweza ku create ndio waliotawala na ndio ambao watakaoendelea kutawala. Kwasababu akili yao ni kubwa kuliko ya wale wasio na uwezo wa ku create.
Wazungu watatuogopa na kutetemeka tutakapo kuwa na uwezo wa ku create vitu vyetu wenyewe kwaajili ya matumizi yetu ya kawaida na yale ya kiulinzi. Ama sivyo tutaendelea kuwa kataifa kadogo na dhaifu.
Wakoloni walipokuja afrika walikuwa tayari wana uwezo wa kutengeneza meli zilizowasafirisha maili nyingi mpaka afrika. Walikuwa tayari wana uwezo wa kutengeneza silaha za moto. Kwahiyo ilikuwa rahisi sana kwa wao kutuvamia na kututawala.
Kama tunataka kuendelea ni lazima tusugue vichwa ku ''create'' .
Hakuna maendeleo yeyote bila ''creation''
Maendeleo halisi ya binadamu yanatokana na nguvu ya ku create hakuna kinyume cha hapo.
Nchi zilizo create mambo ndizo zinazotawala na ndizo zenye nguvu kubwa za kiuchumi na kivita.
Hakuna maliasili yeyote itakayosaidia taifa lolote kama watu wake hawana akili wala nguvu ya creation.
Watu wenye akili watachukua maliasili zenu wataenda ku create mambo kwa maendeleo yao na kwa biashara.
Wataendelea kutajirika na watu wasio na uwezo wa ku create wataendelea kuwa maskini na maskini kila kukicha.
Tuwekeze kwenye maarifa ya watu wetu sasa.