Mwenyezi Mungu amlinde CAG yasimpate yaliyompata LissuItakuwa anafikiria jinsi ya kumzindua CAG...
Kuleta umbea kwamba; 1.5T haileweki zimeenda wapi; ni suala linalohitaji uzinduzi wa CAG mpya!
Kuleta umbeya kwamba, serikali imedanganya kdeni halisi la taifa; ni jambo linalohitaji uzinduzi wa CAG mpya!
Kazindua Mvua juzi,.....Aende jangwani pale kuzindua mitumbwi
Yanaweza; but in other way round: "Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kwamba, Mussa Juma amekimbizwa hospitali ya taifa ya Muhimbili baada ya moyo wake kushindwa kufanya kazi!"Mwenyezi Mungu amlinde CAG yasimpate yaliyompata Lissu
Kweli akili mbovu umekula kidogo nini ,ko lawama zikwendee wewe cyo serikali etiHivi hamzioni hizi mvua muende mashambani kuzalisha badala ya kushinda kulaumu serikali huku mitandaoni?
Mwenyezi Mungu mwangalie mja wako.Yanaweza; but in other way round: "Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kwamba, Mussa Juma amekimbizwa hospitali ya taifa ya Muhimbili baada ya moyo wake kushindwa kufanya kazi!"
Hatutoi kiki kwa risasi kwa watu kama Juma Hassan!
Mashambani kufanya nini? Kwanini usiseme twende migodini? Kwahio sisi stahili yetu ni shambani halafu nyie ni Bank mkaongeze tena ifike bilioni elfu kumi??Hivi hamzioni hizi mvua muende mashambani kuzalisha badala ya kushinda kulaumu serikali huku mitandaoni?
Wewe unafanya nini humu?Hivi hamzioni hizi mvua muende mashambani kuzalisha badala ya kushinda kulaumu serikali huku mitandaoni?
Kumbe unammisi eeh!Tangu ripoti ya CAG imetoka hatuja muona mtukufu bararani akiwa na mkasi wake wa kuzindua. Hata vile viwanda vya saloon vya Lusinde hakuna kilichomalizika tupate kuona uso wa mzee?