Hakuwahi kuapishwa mbele ya anaowaongoza. Awamu zake zote aliapishwa uchochoroni

Kuna jingle moja ya papii kocha anaimba usikumbatie kichochoroni
 
Huyu mama hana uhalali. Sijui hiyo nchi ataiongoza kivipi?

Rais yeyote anayetumia nguvu za dola ili kutawala kuliko kutumia ushawishi sio kiongozi.
 
Mkuu ulisema utaungana na vyombo vya dola kudhibiti wanaoandamana. Mbona unawachanganyia watu habari?
 
Ukienda kwa wauza mbao, zile mbao zenye mapungufu huuziita reject.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…