Hakuwahi Kuniuliza Kazi Yangu, Kabila, Dini Wala Mwnyeji wa Wapi!

KINGA

Member
Joined
Jan 4, 2012
Posts
11
Reaction score
1
Katika harakati za maisha vijana 2naanzia sehem mbalimbali,mwaka 2006 ktk kuanza maisha ya kkaz nlijkuta nmepangwa mkoani Tabora ktk wilaya flan,hko nliish kma bachela,cku zlvozdi kwnd nlpata demu(mpenzi)alikuw kma mke kwn alitmiza kila swala linalomhusu mke,ikiwemo sex,kupka,kfua nk,bdae mwka 2009 nliondka tbr kwnd dsm kmasomo,ndo hpo 2kapotezna.ila ktk kpnd chote nlchokuw nae hakuwah uliza kazi,dini,kabila wala mi mwnyeji wa wap.KWANI KWA WENZETU AKINA DADA VITU HIVI HAVINA NAFASI KTK MAPENZI.
 


Just simple like that?
 
mwee....huyo alikuwa wa aina yake.......
wewe ulimuuliza kuhusu yeye....?
 
Kwake yeye hakuona umuhimu lakini mie ningekuliza kwenu wapi mapema sana,kwani ulikua huendi msikitini wala kanisani? au alijua ndio wale wasokua na dini na hakutaka kukukera kukuuliza.
 
mwee....huyo alikuwa wa aina yake.......
wewe ulimuuliza kuhusu yeye....?


Nafikiri kuna kitu hakikuwa sawa hapa. 3 years, hakuna kuulizana. Mmh.
 

Kwa hiyo unataka ushauri, mawazo au hii ilikuwa ni taarifa kwa umma?
 
mwee....huyo alikuwa wa aina yake.......
wewe ulimuuliza kuhusu yeye....?

Hivi wewe binadamu unashangaa nini kama mwenzako alikuwa ki masilahi zaidi? Halafu neno MWEE! Umejifunzia wapi? Maana lina wenyewe.
 
Hakuwa na interest na wewe bali na ulivyonavyo.
 
lilikuwa jini,hakuhitaji kukuuliza chochote kwa sababu alijua kila kitu kuhusu wewe
 
Alikuwa kimaslahi zaidi yeye alikuwa anaangalia chapaa yako tu hayo mengine yalikuwa hayamuhusu
 
Nadhani jibu unalo ndo maana hujataja wilaya. Pona yako kama ulikuwa igunga au nzega. Kama ulikuwa mojawapo ya wilaya ambazo sijazitaja hususani inayoanzia na S, rudi haraka ukajisalimishe kwa wazee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…