Hakyamama nawaonea wivu The Bold & Nifah

Hivi haya mahusiano ya humu huwaga ni ya ukweli???
Mkuu the bold hongera sana talanta yako imekupa mke jf niwatakie kila LA kheri kwenye ukurasa huu mpya mlioanzisha
 
Hivi haya mahusiano ya humu huwaga ni ya ukweli???
Mkuu the bold hongera sana talanta yako imekupa mke jf niwatakie kila LA kheri kwenye ukurasa huu mpya mlioanzisha
Mengine ya kweli kabisa
 
Mtangulize Mungu tuu kwa kila jambo boss.Mambo mengine yataenda saafii..Mungu awalinde na awawezeshe kufikia matamanio ya moyo wenu.
 
Siwajui hawanijui but nahisi roho mbaya inanisumbua tu.

The bold kuwa makini wachawi tushatia timu
Tupo wengi aisee yaani watu wabaya sana hawa tangu nimepata habari ya hii couple sijaweza kupata usingizi[emoji13] ..haiwezekani wachaguane wao kwa wao. Nifah alitakiwa apate mwanaume boyaboya hivi na huyu shemeji apate mwanamke mjingamjinga hivi kama mimi ili kubalansi[emoji85]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Dah Mkuu umenifanya nimecheka kwa sauti.! Thank you..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…