Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,784
Tutasaidiana na babake lazima kiburi kimuisheJaribu ndio utajua kama ni biti au muziki.
Hata mpwa tunakulaaaaga[emoji12] [emoji12]Patience na Elly si mtu na mpwa wake.....
Sawa inshaallah man'takhofu halati tuombe uzima na salamaWooooow napenda sana mkuu,mimi ni halat ati [emoji39] [emoji4]
Siwezi kusubiri kabisa
Yesssssssssssssssss
#TheBoldIsMine#
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shauri yakoHivi ni serious??
Basi sawaa,kila kher JASUSI
The bold
Teh anaota yule bi mkubwaDota nini kinaendelea hapa?
huo uturi itabidi na mm nipate aiseehhh![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Shukrani sanaaaa!! kama mpenzi wa udi/uturi utabidi upate hata zawadi kutoka Mombasa/Zanzibar!
#TheBoldIsYours#
Ukimvunja hata unywele hilo balaa lake utatamani urudi uzaliwe upya.
Teh analeta ugomvi wa mawe while anaishi kwenye nyumba ya vioo[emoji23] [emoji23] biti la mbu nje ya neti
Jaribu ndio utajua kama ni biti au muziki.
Tutasaidiana na babake lazima kiburi kimuishe
Hahhaa....nataman mwaka mpya tuanze upyaAsantee...my ex...
Hakika mahaba yako siwezi sahau asilani..
Kumbe mpwa ndio alikuharibu????Hata mpwa tunakulaaaaga[emoji12] [emoji12]
Hahahahaha tuombe kherihuo uturi itabidi na mm nipate aiseehhh![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ila QUIGLEY asiskie make kwa kutia fitna hajambo.[emoji85]Hahhaa....nataman mwaka mpya tuanze upya
Kumbe mpwa ndio alikuharibu????
@elly79 unakesi
Huyo mwanaume sijui yuko wapi tu jamani labda nisaidie wewe kumtafuta.Kwani Rogie wako yukwapi jamani
ameenHahahahaha tuombe kheri
Hivi ni serious??
Basi sawaa,kila kher JASUSI
The bold
Kheyr In Shaa Allah [emoji120]Sawa inshaallah man'takhofu halati tuombe uzima na salama
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana Sisy love.huo uturi itabidi na mm nipate aiseehhh![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
haki ya mama tena ...uturi tena na UDI wa Mombasa sio vya nchi hiii!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana Sisy love.
Usijali, nikiupata nitakuletea [emoji6]