Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Na mie nautaka huo uturi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana Sisy love.
Usijali, nikiupata nitakuletea [emoji6]
Nimekukabidhi atoto mkuu..Utakuja kuniambia unanidai sh ngapiMlete kwangu nimfunde huyo atoto hata mwanao Heaven Sent wote wanahitaji kufundwa
Nimekumiss..Ulikuwa wapi?Una hamu eeh?
Mama mtoto umenunua perfume mpya nn?..Naona waturingishia makwapa[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Ndoto za mchana.Teh anaota yule bi mkubwa
Muache aniguse pabaya, acheze na baba mtoto sio mwanangu.Teh analeta ugomvi wa mawe while anaishi kwenye nyumba ya vioo
Kwa jinsi alivyo sugu huyo kiumbe nadhani laki 5 itafaaNimekukabidhi atoto mkuu..Utakuja kuniambia unanidai sh ngapi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Huyo mwanaume sijui yuko wapi tu jamani labda nisaidie wewe kumtafuta.
Basi ntakupa M 5 kama advance..Hiyo laki 5 kanunulie bakoraKwa jinsi alivyo sugu huyo kiumbe nadhani laki 5 itafaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tuombeni kheyr jamani,itabidi aliyetoa ofa aongeze idadi.haki ya mama tena ...uturi tena na UDI wa Mombasa sio vya nchi hiii!!
Fanya uniletee tu!na mm ninukie loohh!
Na mie nautaka huo uturi
Nilikuwa busy na shughuli za nyumbani, watoto wananikeep busy chaaah!!! Kwakweli wakue tu.Nimekumiss..Ulikuwa wapi?
[emoji102]Mama mtoto umenunua perfume mpya nn?..Naona waturingishia makwapa
Kumbe ujambazi ulianza siku nyingi.Kwa jinsi alivyo sugu huyo kiumbe nadhani laki 5 itafaa
Sio bure, kuna namna hapa.Basi ntakupa M 5 kama advance..Hiyo laki 5 kanunulie bakora
Kama umemuona mwambie arudi nyumbani[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Waooooh sasa usijali kesho naianza hiyo kazi rasmiBasi ntakupa M 5 kama advance..Hiyo laki 5 kanunulie bakora
Hata sijamuona.Kama umemuona mwambie arudi nyumbani
Kazana mamito..Malezi yako ni chuo tosha..Hivi mwanao HS ulishamfundisha kuvaa??..Mana kuna event moja alitutia aibu..Alienda withoutNilikuwa busy na shughuli za nyumbani, watoto wananikeep busy chaaah!!! Kwakweli wakue tu.