Hakyamama nawaonea wivu The Bold & Nifah

nakutania humu watu wanapendana kweli...
wanajuana nk
Noma sana,kumbe na fake hizhiz ID watu humu humu wanapendana mpk kupandana

Safi sanaa

Mie.nala shule tuu ya mkuu THE BOLD utapeli,ushushu/ujasusi,uongo wa maana wizi..kwa awanu hii ya tano ngoja tutest kuapply

Waacha waonee
 
Benny mlokole yule..Wala usiwe na wasiwasi nae..Yani yule hata jeographia ya eneo lile haijui

Ila nina mashaka kama asali iko salama, maana kale katoto Benny kwakweli sikaamini.

Ok..Kumbe kanajua kufunika asali yake..Safi sana

Ile event ni kile kibabu bazazi Asprin ndio alitaka amrubuni mwanangu aende without!!! Ila bahati nzuri hakwenda.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kazana mamito..Malezi yako ni chuo tosha..Hivi mwanao HS ulishamfundisha kuvaa??..Mana kuna event moja alitutia aibu..Alienda without
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…