sana na huwa nakupenda sana ila sikujui nakuonaga tu jfWanakutamanisha eeh
Jamani nashukuru sanasana na huwa nakupenda sana ila sikujui nakuonaga tu jf
Fanyeni yenu masinichi tuanze kuona wivuuuJamani nashukuru sana
i wish one day nikuoneJamani nashukuru sana
Wa chini ni nani?Wa juu ni niffah
Inshallah tuombe tu uzimai wish one day nikuone
Mkuu haka ni kaujanja ka kuanzisha couple mpya hapa JF?!![emoji1]sana na huwa nakupenda sana ila sikujui nakuonaga tu jf
Ewe mrembo uliekata tamaa juu yetu sisi wanaume, kupitia uzi huu wenye baraka za upendo uliotukuka baina ya wapendanao The bold na bi Nifah,.Hahahahah fanya mipango bwana kwa yule mrembo.. Mbadilishe moyo aache kuwachukia wanaume [emoji12]
Nije pm?Inshallah tuombe tu uzima
Unataka kuja kufanyaje?Nije pm?
AhahhahaMkipata mtoto.muiteni jamii forum.
kukusalimiaUnataka kuja kufanyaje?
[emoji15] [emoji15]Unataka kuja kufanyaje?
Amen.!!Ewe mrembo uliekata tamaa juu yetu sisi wanaume, kupitia uzi huu wenye baraka za upendo uliotukuka baina ya wapendanao The bold na bi Nifah,.
Nakuomba uufungue moyo wako toka ktk kifungo cha mateso na uuruhusu kumpenda kijana mwenzio (BOMBAY).
sikutaji jina coz najua Sina mrembo mwengine humu ambae niliwahi kumwambia hisia zangu zaidi yako ww mrembo.
Please badili mtazamo wako hasi juu ya wanaume kwakunipenda Mimi ...amini huto juta tena. [emoji7]
Wanasemaga mchuzi wa mbwa huliwa wa moto so changamkia fursa mpendwa[emoji124]Jamani nashukuru sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23]