Wooooww.!! Thank you so much wakuu..
Hahahaha
roboti la matope eti roho inakuuma [emoji23] [emoji23]
Wakuu, inawezekana wengi hatufahamiana nje ya JF but wote humu tumekuwa kama familia.. And "on behalf of my self" na mrembo
Nifah niseme shukrani kwenu wanafamilia wenzetu wote mnaotutakia kheri..
Ni vile tu tunalinda privacy yetu na kuepuka kujiexpose but natamani mda mwingine kuweka wazi ulimwengu mzima ujue kiasi gani tuko deep and serious about this.. Sio ili "kushow off", hapana ni vile finally ukipata soulmate ambaye you have been dreaming kumpata your whole life.. You wish you could scream for the whole world to know..
Kwa dhati kabisa, tunaomba sana maombi yenu, maana mimi na bibie sote ni vijana na kama vijana tuna "changamoto" nyingi, na mahusiano yoyote haijalishi mnapendana kiasi gani lakini lazima kitatokea kipindi cha magumu na mahusiano yenu kujaribiwa.. Mtuombee tuwe na moyo mkuu, hata ikitokea tukifarakana tukumbuke how much we love each other ili tuweze kushinda changamoto na vita zote zilizo mbele yetu na hatimaye tufikie lile lengo tulilonalo mioyoni mwetu..
Again, niwashukuru wote wenye kututakia kheri na kutuombea
roboti la matope,
Heaven Sent,
Compact,
samsun,
UncleBen,
Azarel,
Valentina na wanafamilia/wanachama wote wa JamiiForum..
Tunawapenda sana!
# TheBold's