Huwa Nakuwa muwazi mambo yakishaiva, Cjazoea kutafuniwa Mkuu...
Nipo lyambamgongo shambani huku aiseeee....[emoji5] [emoji5] [emoji5]Uko kantente au Masankuroni?
Bado Mkuu namuona tu Mtoto anajifanya Kama hanioni.. Nishampa mpaka Namba yangu lakini hata text HakunaUshamaliza mamboo[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Asante JF
Nifah wa kawaida sana kwako mkuu, mpe dogo namba.Mkuu mchezaji Elias Maguri wa Tanzania anaweza akawa na namba ya Simu ya mchezaji Luis Suarez wa Uruguay?
Shambani na jua lote hili?Nipo lyambamgongo shambani huku aiseeee....[emoji5] [emoji5] [emoji5]
Haha
We Mtoto machachali yameisha siku hizi.Haha
Very simple. Anzisha UgomviBado Mkuu namuona tu Mtoto anajifanya Kama hanioni.. Nishampa mpaka Namba yangu lakini hata text Hakuna
AhahahahahahahhahMkuu mchezaji Elias Maguri wa Tanzania anaweza akawa na namba ya Simu ya mchezaji Luis Suarez wa Uruguay?
Happy boxing day...[emoji320][emoji320][emoji320]Merry x mass
Na wifi yako Patience123 alikuwamo kwenye kikao hicho!!!!
Nabanwa[emoji28]We Mtoto machachali yameisha siku hizi.
Sikuoni live kule kwetuuu
Ulimwambiaje Patience123!!!Aiseee nilipotea mpwa wangu ..Mambo yako ? Mzima wewe ? Aisee hawa watu humu hawaja mbadilisha Heaven Sent wangu ? Naona Nifah dada yangu nae kaolewa , Kaboom mzima ?
Patience123 nimewasiliana naye jana
Merry Christmas kwenu jamani
Asante sana ndugu yangu. Na wewe pia.Ebana heshima yaka Mtakatifu Ivuga ,heri ya Christmas na mwaka mpya
Teh hakuwepoNa wifi yako Patience123 alikuwamo kwenye kikao hicho!!!!
Happy boxing day...[emoji320][emoji320][emoji320]
Haha haya mabadiliko mbona kama sielewi ? Patience123 alikuwa kwenye mikono salama ya Eli79 ,wewe umetokea wapi tenaUlimwambiaje Patience123!!!
Taratibu mkuu