mysteryman
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 1,065
- 365
Hii inawahusu mnaodate watoto ambao bado wanalelewa na wazazi.
Hii inawahusu mnaodate watoto ambao bado wanalelewa na wazazi.
Tafuta mijimama likija iltataka kulala hapo hapo ushindwe mwenyewe, si unapenda kupigamambo yetu yale.Naamini wanaume wengi huwa hawakapendi haka katabia....unakuta umepanga kuonana na mdada labda geto au mmepanga na mmekutana sehemu lakini muda si muda utaskia mdada anaanza mara ooh unajua mi sikai sana nataka kuwahi, mara ooh ntatafutwa nyumbani...mtu ushakua kwenye mood nyingine afu na yeyd ndo anaanza na kipresha cha kuondoka...yani inakera sana...hivi zile huwa ni mbwembwe au nini?? Kama huna nafasi si ucje kabisa?? Ebo
Tafuta mijimama likija iltataka kulala hapo hapo ushindwe mwenyewe, si unapenda kupigamambo yetu yale.
hiyo uliyoiita 'mood nyingine' unaisababisha mwenyewe,ww unagonga azzym cola (mkuyat) kabla hujahakikishiwa mambo? Angalia siku nyingine hiyo mudi yako itapelekea ufanye maamuz yasofaa
Na we watu kama hao usiwacheleweshe. Unapiga cha fasta wanasepa.
Hiyo ni lugha ya mafumbo. . .
Halalisha umpate wakati wowote na kwa muda wowote bila ahadi za kukutana gesti.
Kuna mwoaji hapo? Watakula mawe? Hizo lugha zenyewe zinaonesha ni makinda hawa
na jimama zima kukaa na katoto zijui inakuwaje, hainiingi akilini. Hivi kweli nipike pilau langu la maana afu niwape watoto walimwage mwage badala ya kutafuta waloshiba walile kiutu uzima?
Formula ya viserengeti siielewi kabisa.
Tafuta mwanamke uoe ile uwe naye muda wote. Halafu inaonyesha wewe ni mmoja wa wato wanaotuharibia watoto wa shule!! Jipime na ubadili mwenendo
Kongosho mi sikuwezi. . . ngoja niache wakubwa wenzio wakujibu.
Tafuta mwanamke uoe ile uwe naye muda wote. Halafu inaonyesha wewe ni mmoja wa wato wanaotuharibia watoto wa shule!! Jipime na ubadili mwenendo