Halafu tukisema pamoja na kuwa na PhD's zenu za Michngo ila bado hamna Akili mnasema tuwatukana na kuwadhalalilisha wakati kiuhalisia mnastahili

Halafu tukisema pamoja na kuwa na PhD's zenu za Michngo ila bado hamna Akili mnasema tuwatukana na kuwadhalalilisha wakati kiuhalisia mnastahili

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amesema kwa mafanikio ambayo timu ya Yanga imeyapata anatamani kumshauri Gavana wa Benki Kuu (BoT) kuweka nembo ya klabu hiyo kama kungekuwa na noti ya Sh100 kuyaenzi mafanikio hayo.

Chanzo: mwanaspoti_tz

Sasa kama Mtu mwenye Doctorate anasema Pumba hivi tukisema kuwa Watu hawa ni Majuha tutakuwa tunakosea?
 
Huo ni utani Mzee wewe, kwani Kuna noti ya Sh 100
Nawe hebu jiongeze kabla hujawaparamia viongozi.
 
Hahahaha kimemramba
Screenshot_20240618-131346_1.jpg
 
Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amesema kwa mafanikio ambayo timu ya Yanga imeyapata anatamani kumshauri Gavana wa Benki Kuu (BoT) kuweka nembo ya klabu hiyo kama kungekuwa na noti ya Sh100 kuyaenzi mafanikio hayo.

Chanzo: mwanaspoti_tz

Sasa kama Mtu mwenye Doctorate anasema Pumba hivi tukisema kuwa Watu hawa ni Majuha tutakuwa tunakosea?
Kutwa Una shinda jamii forum kuanzisha thread za kiboya unazidiwa hata Na lucas
 
Kwenye mpira hakuna profesa au darasa la Saba wote ni wapuuzi linapokuja suala la kudiscuss boli.Ila Kwa huyu Jamaa labda ningemshauri apunguze kidogo mahaba maana anaelekea kuharibu mpira wetu Kwa mahaba yake yakipuuzi Kwa Yanga,(it's not funny anymore)yaani timu ikiifunga yebo mara 2 inanunuliwa,ndio nn Sasa,na usiseme upangaji matokeo (japo utasema leta vithibitisho) ila mtu kama anaweza nunua timu kisa inaifunga timu yake pendwa huyu kuhonga Ili timu ishinde vikombe Miaka 10 mfululizo atashindwa na njaa njaa zetu hizi!?
 
Ukweli pale hapakustahili kuweka utani wa aina yoyote

Sema mpira unatumika kama pombe kulevya wananchi wasahau kuwa budget yetu ndio budget ndogo zaidi kwa ukanda wa afrika mashariki

1. Kenya 2. Uganda 3. Rwanda 4.tz 5.Burundi
Ndio maana unaona cups zinaanzishwa Kila kuelekea uchaguzi mkuu
Vijana wanacheza Kisha wanalala bila kuoga (maji hakuna) wanalala giza maana hela ya LUkU kubwa n.k
 
Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amesema kwa mafanikio ambayo timu ya Yanga imeyapata anatamani kumshauri Gavana wa Benki Kuu (BoT) kuweka nembo ya klabu hiyo kama kungekuwa na noti ya Sh100 kuyaenzi mafanikio hayo.

Chanzo: mwanaspoti_tz

Sasa kama Mtu mwenye Doctorate anasema Pumba hivi tukisema kuwa Watu hawa ni Majuha tutakuwa tunakosea?
Kiongozi wa kitaifa inatakiwa achunge,(atunze kauli zake), hasa tungo tata km vile wanao kataa tozo wahamie........
 
Back
Top Bottom