Hio ni right off...haitakuwa salama, najua wengi mnafanya hivyo halafu mnauza hizo gari,sio sawa. Nenda ilala utapata nose cut,half cut hata mouth cut.wakati flan nachananya nose cut na half cut. ila hapa nataka kuzungumzia ile sehemu nzima ya gari kuanzia kwenye mlango wa dereva mpaka mbele kabisa.iwe imekamilika kila kitu. inahitajika ningependa kujua napoweza pata na pia bei zake zinakuaje maana nlijaribu kuulizia toka japani gharama yake ikaja kubwa sana.gari yangu imepata ajali kubwa naona ni bora tu nibadilishe mbele kote niondoe kuanzia kwenye mlango wa dereva kwenda mbele. nlitaka kujua upatikanaji wa hiyo sehemu na gharama zake.
Half cut is 'acceptable' kwa gari ambayo imejengwa juu ya chassis. Ila hizi gari ndogo ambazo hazina chasiss na bodi inafanya kazi ya chassis, hizo gari sio nzuri hasa just incase zinapata head on collision.Hio ni right off...haitakuwa salama, najua wengi mnafanya hivyo halafu mnauza hizo gari,sio sawa. Nenda ilala utapata nose cut,half cut hata mouth cut.
Lakini hakuna aliposema anataka kuuza hebu msome tena usimlishe manenoKauze scraper ununue mchuma mwingine kama hela haitoshi basi nunua boxer mkuu. Haitakaa vizuri utaishia kumsukumia mtu mwingine hicho kimeo. Dhambi