Lu-ma-ga
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 4,780
- 3,227
Nimegundua kuna wanjamii wanapost kwa mtindo wa bora liende.Niwa tahadhalishe kuwa hapa tunaelimishana kwa yale ambayo mmoja hajui.So we must provide information based on informed daata and not for the sake.
Kuna jamaa kasema eti kama Dr.Slaa ataanguka ktk uchaguzi basi watu wa mikoa ya Tabora, Mwanza na shinyanga watakuwa wamechangia kwa kuwa ni watu wa ndiyo mzee.
Labda ni msaidie kuwa pamoja na wizi wa hali ya juu wa kura na CCM bado mikoa aliyotaja imewahi kuibuka kidedea japo na jimbo moja au zaidi kama ifuatavyo
3. Mkoa wa tabora jimbo la urambo lilikuwa chini ya NCCR-Mageuzi 1995-2000
Tujitahidi kutoa informed data kuliko ushabiki,kuna mikoa ambayo haijatwawaliwa na upinzani vni vema mkatumia nafasi hii kutoa malinganisho mfano Dodoma ,Singida, Tanga, mtwara n.k ili kuleta tija ktk mabadiliko
Nawasilisha

- Mkoa wa Shinyanga 1995-2005 majimbo ya bariadi magharibi na mashariki yamekuwa chini ya upinzani-UDP
- mwaka 1995-2010 Kata ya Ipililo wilayani Maswa imekuwa chini ya chama hafifu kabisa cha CHAUSTA na diwani wake Bwana Kasulumbayi mwaka huu anagombeaCHADEMA jimbo la Maswa Mashariki na anang'ara as usual
- Jimbo la kisesa wilayani meatu limewahi kuwa chini ya UDP 2000-2005