Hali halisi ya Maisha ilivyo mtaani

Hali halisi ya Maisha ilivyo mtaani

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
948
Reaction score
1,627
Pesa hakuna kabisa mitaani. Hakuna mzunguko kabisa. Wananchi wanataabika na maisha na maisha magumu. Wakandarasi hawajalipwa mabilioni ili kuwe na mzunguko wa fedha. Serikali imekaa kimya. Kama hali hii ikiendelea hivi CCM jiandaeni kukabidhi kijiti.
 
Hali itaendelea kua hivyo na hawatakabidhi hicho kijiti, sijui utawafanya nini Mkuu?!😆
 
Pesa hakuna kabisa mitaani. Hakuna mzunguko kabisa. Wananchi wanataabika na maisha na maisha magumu. Wakandarasi hawajalipwa mabilioni ili kuwe na mzunguko wa fedha. Serikali imekaa kimya. Kama hali hii ikiendelea hivi CCM jiandaeni kukabidhi kijiti.
Nakuhakikishia hali hii ikiendelea ccm hawawezi kukabidhi nchi.
Hakuna watu wa kuipa challenge ccm nchi hii kiasi kukabidhi nchi.
Kelele zitaishia Mtandaoni X na hapa JF kama hivi.
 
Pesa hakuna kabisa mitaani. Hakuna mzunguko kabisa. Wananchi wanataabika na maisha na maisha magumu. Wakandarasi hawajalipwa mabilioni ili kuwe na mzunguko wa fedha. Serikali imekaa kimya. Kama hali hii ikiendelea hivi CCM jiandaeni kukabidhi kijiti.
Mbona hi hali ni ya siku zote na CCM inaendelea kupeta tu......
 
Pesa hakuna kabisa mitaani. Hakuna mzunguko kabisa. Wananchi wanataabika na maisha na maisha magumu. Wakandarasi hawajalipwa mabilioni ili kuwe na mzunguko wa fedha. Serikali imekaa kimya. Kama hali hii ikiendelea hivi CCM jiandaeni kukabidhi kijiti.
Wakandarasi hawa walionunua helicopter kwa ajili ya mtu fulani?
Wananchi amkeni, mmelala sana
 
Pesa hakuna kabisa mitaani. Hakuna mzunguko kabisa. Wananchi wanataabika na maisha na maisha magumu. Wakandarasi hawajalipwa mabilioni ili kuwe na mzunguko wa fedha. Serikali imekaa kimya. Kama hali hii ikiendelea hivi CCM jiandaeni kukabidhi kijiti.
Umetumia kipimo gani?,kujua pesa haipo kabisa mtaani?,ukilinganisha na kipindi kipi?,ambacho ulitumia pia kipimo kipi?
 
Pesa hakuna kabisa mitaani. Hakuna mzunguko kabisa. Wananchi wanataabika na maisha na maisha magumu. Wakandarasi hawajalipwa mabilioni ili kuwe na mzunguko wa fedha. Serikali imekaa kimya. Kama hali hii ikiendelea hivi CCM jiandaeni kukabidhi kijiti.
Hebu mtoa mada tujulishe wewe binafsi ni mwaka gani ulikuwa na pesa mtaani na hizo pesa ulikuwa unapata kwa shughuli gani?
 
Pesa huwezi kuipata hovyohovyo au kirahisi kama huna shughuli maalum na halali ambayo inakuingizia kipato au hivyo pesa unayoilalamikia wewe haipatikani. Unakaa vijiweni kupiga umbea na majungu, halafu unakuja kuilalamikia CCM fala wewe! Nenda sokoni kawaulize vijana wenzako wanaojitambua na wasio na haya kama hawapati pesa au wanapata, wafate vinyozi, wafate vijana kariakoo, wafate, makondakta, waendesha bajaji, pikipiki na madereva. Unashindwa hata na makahaba?!

Kweli vijana ni mzigo hili taifa.

Na kwa taarifa yako, CCM haitakuja kutoka..., utakufa utaiacha.
 
Kukosekana kwa mzunguko wa hela kuna mambo 2 tu
1. Mama anatunza nguvu ya uchaguzi 2025 au
2. Mama ameanza kutumza Penshen yake
 
Back
Top Bottom