Hali itaendelea kua hivyo na hawatakabidhi hicho kijiti, sijui utawafanya nini Mkuu?!😆Pesa hakuna kabisa mitaani. Hakuna mzunguko kabisa. Wananchi wanataabika na maisha na maisha magumu. Wakandarasi hawajalipwa mabilioni ili kuwe na mzunguko wa fedha. Serikali imekaa kimya. Kama hali hii ikiendelea hivi CCM jiandaeni kukabidhi kijiti.
Nakuhakikishia hali hii ikiendelea ccm hawawezi kukabidhi nchi.Pesa hakuna kabisa mitaani. Hakuna mzunguko kabisa. Wananchi wanataabika na maisha na maisha magumu. Wakandarasi hawajalipwa mabilioni ili kuwe na mzunguko wa fedha. Serikali imekaa kimya. Kama hali hii ikiendelea hivi CCM jiandaeni kukabidhi kijiti.
Mbona hi hali ni ya siku zote na CCM inaendelea kupeta tu......Pesa hakuna kabisa mitaani. Hakuna mzunguko kabisa. Wananchi wanataabika na maisha na maisha magumu. Wakandarasi hawajalipwa mabilioni ili kuwe na mzunguko wa fedha. Serikali imekaa kimya. Kama hali hii ikiendelea hivi CCM jiandaeni kukabidhi kijiti.
Wakandarasi hawa walionunua helicopter kwa ajili ya mtu fulani?Pesa hakuna kabisa mitaani. Hakuna mzunguko kabisa. Wananchi wanataabika na maisha na maisha magumu. Wakandarasi hawajalipwa mabilioni ili kuwe na mzunguko wa fedha. Serikali imekaa kimya. Kama hali hii ikiendelea hivi CCM jiandaeni kukabidhi kijiti.
Umetumia kipimo gani?,kujua pesa haipo kabisa mtaani?,ukilinganisha na kipindi kipi?,ambacho ulitumia pia kipimo kipi?Pesa hakuna kabisa mitaani. Hakuna mzunguko kabisa. Wananchi wanataabika na maisha na maisha magumu. Wakandarasi hawajalipwa mabilioni ili kuwe na mzunguko wa fedha. Serikali imekaa kimya. Kama hali hii ikiendelea hivi CCM jiandaeni kukabidhi kijiti.
Na watumishi wanasubiria kupandishwa pia wengine kuserereshwa!
ThermometerUmetumia kipimo gani?,kujua pesa haipo kabisa mtaani?,ukilinganisha na kipindi kipi?,ambacho ulitumia pia kipimo kipi?
Hebu mtoa mada tujulishe wewe binafsi ni mwaka gani ulikuwa na pesa mtaani na hizo pesa ulikuwa unapata kwa shughuli gani?Pesa hakuna kabisa mitaani. Hakuna mzunguko kabisa. Wananchi wanataabika na maisha na maisha magumu. Wakandarasi hawajalipwa mabilioni ili kuwe na mzunguko wa fedha. Serikali imekaa kimya. Kama hali hii ikiendelea hivi CCM jiandaeni kukabidhi kijiti.