Hali Halisi ya wanawake wa Kibongo

mkuu hapo sikubaliani na wewe nafikiri hata hapo mtaani kwenu kuna vyombo si mchezo
 
acha kuongeza idadi ya post wewe..........pamoja na ugumu wa maisha 2liyonayo watz bt nakataa kauli yako.wanawake wengi wana sura,nywele na ngozi nzuri japo wanapaka rays au baby care.kua na nidhamu na wanawake wa kibongo nikiwemo mimi.wewe sura yako ikoje?au kama tabasamu la ng'ombe?
 
We wa wap?achana na hii kitu bana,bongo kuna totoz za ukwel eti.
 
aisee....
 

weweeee, watoto wa kibongo huwajui wewe,,acha kabisa wabongo wazuri bana, idarazote wanetimia...go east or west but bongo is best!
 

Najaribu kumkumbuka yule mtu aliesemaga kuwa uzuri ni 'relative' simkumbuki!
 
Ww mama yako ni wa nchi gani?mnapoandika kuhusu wanawake msisahau na mama na dada zenu ni wanawake pia.


Mweeeeeeeee! Kuna watu hawaogopi 'ban' kabisa, mi nlitaka kusema nkaogopa ban, ila nashukuru umenisemea na mimi
 
Mnawakana mama zenu na dada zenu, kama hawa wanawake ambao ni mama zanu wananyuso za ngumi basi wewe utakuwa nazo hizo hizo maana mmetoka kwenye udongo huo huo!

Mhhhhhhhhhh!
 
Ndio dada zetu, shangazi zetu, binamu zetu, mama wadogo, mama zetu na wabinti zetu, hata wawe na maumbo ya kutisha , sio sababu ya kuwadharau, kuwa dhalilisha, hili lina nipa shaka na uwezo wako wa kujitambua?:
 

Akiambiwa anafikiria kwa kutumia enzymes atakasirika
 
Wahenga wali sema tembea uone kaka wewe
huja kutana na vitoto veupe c veupe veusi c veusi wewe unge pagawa wewe hebu jarbu kutembea ujione warembo walivyo rembeka bila hata make up wewe huja jua bado +na maumbo yao mazur nyuma kume jaja kiuono kina zunguka chenyewe we we thubutu kukutwa ufurahie wewe .
 
Hivi mwenzetu unaishi Bongo ipi!! maana unachekesha kwelikweli, Dadas wa Kibongo ni wa ukweli na ni most Beautiful.
 
Naomba unitafute af uje kuleta jibu hapa..:shetani:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…