NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,954
ahsante tamuelekeza.Mtu mwenye kisukari anywe maji yaliyochanganywa na limao yanasaidia.Kamulia limao au ndimu 1 kwenye maji kiasi Cha ¼ lita kila unapohisi kiu.
mkuu yanasaidia kufanyaje kwa maana kisukari kama huja kikontrol au umekikontrol nu very complicated hakina wema kabisaa!Mtu mwenye kisukari anywe maji yaliyochanganywa na limao yanasaidia.Kamulia limao au ndimu 1 kwenye maji kiasi Cha ¼ lita kila unapohisi kiu.
Yanasaidia ku stablize sukari ya kupanda.mkuu yanasaidia kufanyaje kwa maana kisukari kama huja kikontrol au umekikontrol nu very complicated hakina wema kabisaa!
hivi Dokta ndodi Yupo wapi siku hizi Mkuu?? jamaa alitisha sana wakati ule. ila nashangaa kapotea.Dr. Ndodi kadanganya wengi sana
wakisha tajirika wanahamisha uwkezaji katika miradi mingine ya kuganga wana achana nayo!hivi Dokta ndodi Yupo wapi siku hizi Mkuu?? jamaa alitisha sana wakati ule. ila nashangaa kapotea.
kuna yule mwingine alikuwa anaitwa JKBRS international. sijui nae yupo wapi. naona tu office pale ubungo plaza
Inasaidiaje mkuu?Mtu mwenye kisukari anywe maji yaliyochanganywa na limao yanasaidia.Kamulia limao au ndimu 1 kwenye maji kiasi Cha ¼ lita kila unapohisi kiu.
Inathibiti sukari ya mwili kua katika kiwango kinachotakiwa.Inasaidiaje mkuu?
AsanteInathibiti sukari ya mwili kua katika kiwango kinachotakiwa.