1. Ikiwa Bunge, Mahakama, vyombo vya ulinzi na usalama na kila kitu vipo mikononi mwa mtu mmoja:
Je, kuna demokrasia hapo?
Je, kuna haki hapo?
Kwa kifupi, ni kwamba kama mchakato mzima wa uchaguzi utaendelea kuratibiwa na wateule wa Rais, watendaji wa serikali na waajiriwa wa serikali iliyopo madarakani, kamwe hatutakuja kufanya uchaguzi wa vyama vingi vya siasa ulio huru na wa haki.
Naomba wenye uwezo watusaidie kuomba msaada zaidi kwa MABALOZI wote waliopo hapa Nchini, UMOJA WA MATAIFA, TAASISI ZA KIMATAIFA, VIONGOZI WA WA DINI nk. ili kusaidia kuleta uchaguzi ulio huru na wa haki hapa Nchini.
Kwa sasa ni shida tupu wala hakuna uchaguzi hapa.
Inaumiza sana.