Hali ikoje kwenye kozi za Masters in Computer na Data Science katika vyuo vyetu hapa Tanzania?

Hali ikoje kwenye kozi za Masters in Computer na Data Science katika vyuo vyetu hapa Tanzania?

Paa

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2015
Posts
1,462
Reaction score
2,935
UDSM hizi kozi mbili zote zipo, sijafuatilia kwa UDOM na vyuo vingine. Hali ikoje wadau? Maana stori za mitaani zinasema kuwa waalimu wengi hawajali wanafunzi, hawana muda na wanafunzi ila mambo yao tu na wengi hawana moyo wa kumsaidia mtu amalize fresh.

Hali ikoje?
 
Kama unataka cheti soma udsm (jalalani) na vyuo vingine kama hivyo ILA kama unataka ujuzi kasome nje kwa mabeberu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hiyo kozi ya data science inachukua muda gan mpaka mtu apate degree I mean miaka mingapi unaisomea hapo udsm?
Sijasoma UDSM pia nadhani hawana hiyo kozi, ila kama unataka computer science itakua ipo! kawaida masters ni miaka 2.

Narudia tena tafuta nafasi chance ukasome nje achana na masters za bongo.
 
Ipo boss...unakutana Prof msele kwenye CS
MS ya CS ipo?
Karibu UDOM-CIVE mziki mneneee

Sent using Jamii Forums mobile app
Mziki mnene una maanisha nini?

Chuo kimeshindwa hata kuhakikisha website yao na database ya mfumo wa kuhifadhi taarifa za wanafunzi uko secured bado unashauri akasomee IT hapo?

Yani kawebsite kamehakiwa na files zikawekwa hapa jf pamoja na password za wanafunzi duuuh.

Huyo profesa unaye msifia alikua wapi kuhakikisha systems zao ziko okey mpaka watu wana hack kijinga kabisa?

Narudia tena, kama una nia ya kusoma masters ya IT/CS/SE/CE achana na vyuo vya bongo otherwise kama unataka cheti sawa, kwa ujuzi NO!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani nataka kwenda diploma nmemaliza form four nkasomee computer science ila wazazia hawataki halafu wanasema tusubirie selection na wakati wamewasiliana na watu wa tamisemi wanibadilishie niende a level ila najua ntazingua tu a level anayeweza nisaidie jaman plz
 
Back
Top Bottom