Kama unataka cheti soma udsm (jalalani) na vyuo vingine kama hivyo ILA kama unataka ujuzi kasome nje kwa mabeberu.UDSM hizi kozi mbili zote zipo, sijafuatilia kwa UDOM na vyuo vingine. Hali ikoje wadau? Maana stori za mitaani zinasema kuwa waalimu wengi hawajali wanafunzi, hawana muda na wanafunzi ila mambo yao tu na wengi hawana moyo wa kumsaidia mtu amalize fresh.
Hali ikoje?
Mkuu hiyo kozi ya data science inachukua muda gan mpaka mtu apate degree I mean miaka mingapi unaisomea hapo udsm?Kama unataka cheti soma udsm (jalalani) na vyuo vingine kama hivyo ILA kama unataka ujuzi kasome nje kwa mabeberu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijasoma UDSM pia nadhani hawana hiyo kozi, ila kama unataka computer science itakua ipo! kawaida masters ni miaka 2.Mkuu hiyo kozi ya data science inachukua muda gan mpaka mtu apate degree I mean miaka mingapi unaisomea hapo udsm?
Vipi UDOM?Kama unataka cheti soma udsm (jalalani) na vyuo vingine kama hivyo ILA kama unataka ujuzi kasome nje kwa mabeberu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo boss...unakutana Prof msele kwenye CSMS ya CS ipo?
Ipo boss...unakutana Prof msele kwenye CS
MS ya CS ipo?
Mziki mnene una maanisha nini?
Ivi makadilio ya vyo vikuu vya nje ghalama zake zikojeKama unataka cheti soma udsm (jalalani) na vyuo vingine kama hivyo ILA kama unataka ujuzi kasome nje kwa mabeberu.
Sent using Jamii Forums mobile app