Hali iliyomtokea Jux kumegewa dem na Trey Songz ni kiki au?

Hali iliyomtokea Jux kumegewa dem na Trey Songz ni kiki au?

Mapensho star

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,052
Reaction score
4,104
siku kadhaa zimepita tangu zisambae picha ya vanesa na treysong kuonekana wapo chumbani vanesa kamlalia treysong kimahaba kitandani nachojiuliza ni kiki au ni kweli treysong kapita nae vanesa imechukua siku sita wapenzi hawa kupost picha ambayo wote wamepost picha ikionesha mshale juu
kama nikweli basi vanesa kamzalilisha jux sana ila kama ni kiki tena sio kwa style hii blazamen jux
 

Attachments

  • IMG_20160927_123022.JPG
    IMG_20160927_123022.JPG
    197.1 KB · Views: 224
Back
Top Bottom