Hali iliyomtokea Jux kumegewa dem na Trey Songz ni kiki au?

Lakin kapo ya vee na trey songs inaendana juma jux na vee mmmhh nah nah nah jux sio handsome hata kdg anabebwa na body structure ,pozi,na outfits bsii labda na hela kama anazo (am nt sure) na fame basiii hakuna kingine
 
Alafu hiyo picha ni edited, imewekewa kiza kiza ili kuwaaminisha watu ilikuwa usiku wa kunjunjana, but picha yenyewe original mbona ipo kawaida tu?
Ebu tupia hapa hicho kivuli halisi
 
Alafu hiyo picha ni edited, imewekewa kiza kiza ili kuwaaminisha watu ilikuwa usiku wa kunjunjana, but picha yenyewe original mbona ipo kawaida tu?
Weka original kuu[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
mwache trey aipige tu hiyo papuchi si atamuachia jux au atabaki nayo huko huko
 
Ila kugongewa ni maumivu makali mkuu....yaani apo unadharaulika pande zote,mgongaji na mgongwaji wanakuona wa kawaida saana.
Bora ukigongewa kimya kimya unaugulia moyoni ila ya bwana juma inauma sana mbaya zaidi Tanzania nzima wanajua kua umegongewa halafu mchizi alo mkaza demu wako anaonekana kabisa km mlalaji mzuri wa chooni teh teh teh.....
 
Jux anatumia Vanessa kama platform tuu kuuza mziki wake Vanessa mwenyewe ni msagaji bingwa utamwambia nin?

Kuna wasagaji lesbians na wengine ni bisexual ambao mara nyingi wanapenda kuwa na boyfriend. Kama unayosema ni kweli, basi Jux ni lucky man, if you know what I mean!
 
Unajua kinachomuuna jux ni ile shobo yake ya kila akiwa jukwaani haishi mtaja Vanesaa kama the utamuzii wake....hakujua kama kuna akina manfongo kibao mpaka ulaya.Eti kasusa!!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Lakin kapo ya vee na trey songs inaendana juma jux na vee mmmhh nah nah nah jux sio handsome hata kdg anabebwa na body structure ,pozi,na outfits bsii labda na hela kama anazo (am nt sure) na fame basiii hakuna kingine
Naaaah!
Kwa definition ya handsome Jux ni handsome.
Ukweli na usemwe tu jamani.
Since day one namuona kwa kideo nilikubali jamaa ni mkali.
Japo simkubali kihivyo ila sifa zake nampa kiroho safi.
 
Kuna wasagaji lesbians na wengine ni bisexual ambao mara nyingi wanapenda kuwa na boyfriend. Kama unayosema ni kweli, basi Jux ni lucky man, if you know what I mean!
Makubwaaaaa!
Inakuwaje mwanaume anakuwa ni mwenye bahati kwa kutoka na lesbo?
Dadavua Mkuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…