Hili la usagaji ndio nimelisikia leo.Jux anatumia Vanessa kama platform tuu kuuza mziki wake Vanessa mwenyewe ni msagaji bingwa utamwambia nin?
Makubwaaaaa!
Inakuwaje mwanaume anakuwa ni mwenye bahati kwa kutoka na lesbo?
Dadavua Mkuu...
ha ha ha[emoji3] [emoji3] [emoji3] watu ckuiz hawaangalii uzur
Shida n pale Kat patam
Nimekuelewa sana ko aki toa mbwa yy ni sawa kuwa tume para miwa taifa zima bas atuwakilishe vyemaDuuu v money na mforeigner n matumaini yangu hatakuwa katuangusha maana ni mechi inayokutanisha mataifa mawili.
Na iwe fundisho,kwa mujibu wa SHILAWADU nasikia wame _"unfollowiana" Jux kasahau Huu mchezo hauhitaji hasira.
Bora ukigongewa kimya kimya unaugulia moyoni ila ya bwana juma inauma sana mbaya zaidi Tanzania nzima wanajua kua umegongewa halafu mchizi alo mkaza demu wako anaonekana kabisa km mlalaji mzuri wa chooni teh teh teh.....
Usiamini kila unalosikia mengine ni fununu zisizo na ukweli.Hili la usagaji ndio nimelisikia leo.
Ama kweli mjini hapa pakubwa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umetisha sana.Kaongea kuhusu wasagaji. Nimesema wako wa aina mbili, lesbos na bisexual. Hawa bi wanapenda wanapenda kutoka na wanaume na wanawake. Baadhi ya wanaume watanielewa, if your patner ni bi hiyo ni dream come true. Kwasababu wanaume (si wote) kilasiku wanaota threesome. Yaani [HASHTAG]#TRIO[/HASHTAG]
SureUsiamini kila unalosikia mengine ni fununu zisizo na ukweli.
Maana kila mtu hapa mjini ukiuliza habari zake utaskia shoga ama msagaji ama anauza unga ama anatumia unga.
Treysong kamkojoza vee moneyKwan huyo Treysong kaondoka nayo au kaitumia na kumwachia ye'mwenyew Vanessa?
hivi huyo msemo huwa una maana gani?moyo mashine!
yeah ni kweli kabisa vanessa na trey ...i ship that.wanaendana mpaka co vizuri yaan, sema trey mzuri sana aisee nessa ataish roho juu abaki tu na jux hamna atakayemnyang'anya teh.Lakin kapo ya vee na trey songs inaendana juma jux na vee mmmhh nah nah nah jux sio handsome hata kdg anabebwa na body structure ,pozi,na outfits bsii labda na hela kama anazo (am nt sure) na fame basiii hakuna kingine
mwanaume akiwa na lesbo manake anakuwa na two girlfriendz so that means 3some za kutosha...Makubwaaaaa!
Inakuwaje mwanaume anakuwa ni mwenye bahati kwa kutoka na lesbo?
Dadavua Mkuu...
Nieleweshe kidogo mkuu maana juu namuona Twista chini Trey sasa sijui umemkubali vp hapo!Hapa ndipo nilipomkubali Trey Song.