Hali inapokuwa tete.

hayo ndo maisha bora kwa kila mtz, uyo ni mtu mzima alitakiwa awe na familia yake na watoto na heshima za kutosha, ona sasa maisha yanamfanya anakuwa hivyo...sijui nani atawakomboa watz katika hali kama hii.
 
Wabongo siku hizi wakikamata kibaka wanachinja tu!!
 
Ama kweli maisha matamu. Yaelekea huyo kibaka pamoja na option ya kukwapua mali za watu ili kujiendeshea maisha lakini yuko makini mambo yanapokataa!!! hapo ana uhakika sana wa kujiokoa.😛ound:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…