Hali inatisha idadi ya wanawake inaongezeka kwa kasi ya ajabu

Hali inatisha idadi ya wanawake inaongezeka kwa kasi ya ajabu

jeipm

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2018
Posts
500
Reaction score
825
Mashuleni, vyuoni wamejaa wao
Nyumba za kupanga wamejaa wao
Maeneo ya biashara wamejaa wao
Makazini wamejaa wao
Mashambani wamejaa wao
Mahospitalini wamejaa wao
Nyumba za ibada wamejaa wao
Migodini wamejaa wao bali wapo Kama waangalizi

Halafu tunadanganywa na takwimu hizi uchwara kwamba wanawake 51% na wanaume 49% huu ni uongo mweupe
 
MUNGU fundi Sana,
Hebu fikiria wanaume ndiyo tungekuwa wengi.nini kingetokea!!!!!!?
 
Hata wakati ule mlisema kila kona wasukuma wamejaaa sana. Kila anaeteuliwa ni sukuma gang. Wacha tuje tuone 2030 labda mtakuja na uzi wa waliojaaa ni wanyaturu au wanyoa vipara....
 
Kuna Chanjo pia mpaka 2025 watoto wa Box watakuwa wanatengenezwa
 
MUNGU fundi Sana,
Hebu fikiria wanaume ndiyo tungekuwa wengi.nini kingetokea!!!!!!?
Kuongezeka sio tatizo ila kuongezeka hadi kuanza kutishia uwepo wa jamii ya kiume hapo ndio tatizo linapoanzia
 
Kuongezeka sio tatizo ila kuongezeka hadi kuanza kutishia uwepo wa jamii ya kiume hapo ndio tatizo linapoanzia
Ni kweli, ila jua kuwa kitu chochote hata kama ni kizuri kikizidi viwango huleta madhara
 
Back
Top Bottom