Hii Ndiyo KweliWanaume twafa mapema
Nimemuuliza AlitakajeTatizo liko wapi kwani! Wanawake ni maua mazuri. Wacha waongezeke tu ili waipendezeshe dunia.
Hii ndio positive thinking...yaani wajazane tuu tupate a panoply of mbususuTatizo liko wapi kwani! Wanawake ni maua mazuri. Wacha waongezeke tu ili waipendezeshe dunia.
Mimi kila wiki nachakata angalau watatuAcha wajae tuwachakate vizuri maana wakiwa wachache wanadengua
Safi sanaMimi kila wiki nachakata angalau watatu
Hata mimi nawapenda sana ila Samia ameniangusha😔😔😔Tatizo liko wapi kwani! Wanawake ni maua mazuri. Wacha waongezeke tu ili waipendezeshe dunia.
Wanaume Kujimwambafai ndiyo kunatuua mapema!!Wanaume twafa mapema
Ni kweli, ila jua kuwa kitu chochote hata kama ni kizuri kikizidi viwango huleta madharaKuongezeka sio tatizo ila kuongezeka hadi kuanza kutishia uwepo wa jamii ya kiume hapo ndio tatizo linapoanzia