Hali inatisha idadi ya wanawake inaongezeka kwa kasi ya ajabu

Wewe takwimu zako ni zipi au unaupiga mwingi?
 
Mara nyingi nikiangalia takwimu ya watoto wanaozaliwa unakuta watoto wa kike ndio wengi,

Kwa mwendo huu naona kabisa miaka kumi ijayo hata hii ndoa ya kikristo kuoa mke mmoja will not be practical anymore
 
Wanawake wengi wamefiwa na waume zao wangali wadogo, ishu inakuja kuolewa tena ni shughuli pevu kutokana na wanawake kuwa wengi kuliko wanaume
 
Hongera wanawake
Sisi wanaume mkituzaa mnatulea kwa shida tukikua na kuoa tunalea tuliko olea bora iwe hivyo hivyo
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…