Hali inatisha

Kuna siku tulimkuta boda amewapakiza watoto wanne mishkaki na watoto wenyewe ni wadogo kwa makadirio ni watoto wa 5-6 yrs, kwa kweli tulimsimamisha tukamzuia kuondoka, watu wakajaa ikabidi awapigie wazazi wa hao watoto
Hatari sana
 
Ni mzazi mpumbavu tu anaeweza kuruhusu huu ujinga. Hata kumpakia mtoto kwenye toyo hata kama ni mwenyewe huo ujinga siwezi kuufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…