Hali kama hii ikikutokea wewe chumbani kwako au 'guest house' utafanyaje?

I like this..Unajifanya kama vile umedata. Unachukua jembe then unachimba hivyo vidole vilivyotokeza chini ya pazia unadai kuwa ni uyoga umeota chumbani kimakosa..Then unasikilizia timbwilitimbwili lake!!
 
mi najifanya sijui kitu, nambusu mke wangu. thena natoa moto naanza kuusafisha taratibu huku nikimwambia my wife wangu kuwa mbona hunikumbushagi kusafisha hii bastola? then naiload kabisa...huku napiga mluzi tanzania, tanzaniaaa nakupenda kwa moyo woteee!!!!
 
ahahahhaahha mmmmm umenifurahisha kweli
 
mmhh, I like this
 
Wake za watu hatari hata muumba hapendi kabisa
 
I like this..Unajifanya kama vile umedata. Unachukua jembe then unachimba hivyo vidole vilivyotokeza chini ya pazia unadai kuwa ni uyoga umeota chumbani kimakosa..Then unasikilizia timbwilitimbwili lake!!

mwehhh......
 
Inwezekana ulimchelesha hivyo inabidi uchukue siraha harisi inayotakiwakisha uanze vita, kumbuka bhita ni bhia mura.
 
Inwezekana ulimchelesha hivyo inabidi uchukue siraha harisi inayotakiwakisha uanze vita, kumbuka bhita ni bhia mura.
aghao? amang'ana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…