Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,193
Kazini ina maana wanakalina uchi na kulaliana kimahaba, si kila mtu na hamsini zake, hapa tunachoongelea ni mkao wao walivyo,( kwenye picha) je, mkeo akimkalia hivyo mwananume mwingine utakubali aendelee kuigiza?-Mimi sioni tataizo kama mnaaminiana.Hivi kama mkeo anaweza kufanywa asusa kwa kuigiza tu,je ukifungwa jela ? au akienda kazini je?hakuna mazingira yanayoshabihiana na hayo yanayoweza kumfanya mkeo ku-cheat?
Tena inaonekana wanatoka kukimbizana, maana wana michanga miguuni, hivyo Kanumba aliona vizuri mambo yote ya ndani wakati anamkimbiza.
Kazini ina maana wanakalina uchi na kulaliana kimahaba, si kila mtu na hamsini zake, hapa tunachoongelea ni mkao wao walivyo,( kwenye picha) je, mkeo akimkalia hivyo mwananume mwingine utakubali aendelee kuigiza?
arghhhhh..kwani nini cha ajabu hapo??....acha wivu kwa mkeo kaka...kazi hiyo inaleta kipato cha familia....
NI MAONI TU WADAU ILA YAMEJAA MTAZAMO WA KUWAWEZESHA WANAWAKE WASIENDELEE KUWA JINSIA TEGEMEZI[/QUOTE]
Nakubaliana na wewe, ni issue ya kijinsia hii. Hapo kuna ma-director, wapiga picha, na waigizaji kibao. Hata feelings hapo sijui kama zinakuwpo. Sasa kama mkeo anafanya kazi ya kusafiri, say kwa mwezi mzima. Pengine na kundi au kijana mwingine(Manake hapo hata na privacy inakuwepo)?.Na je kwa wanaume ambo kazi zao ni za kusafiri? Nao tuwakatalie au kuwabadili kazi?
arghhhhh..kwani nini cha ajabu hapo??....acha wivu kwa mkeo kaka...kazi hiyo inaleta kipato cha familia....QUOTE]
Kweli you don't care, kama ni kipato na tukikose. Mbona kuna kazi nyingi tu za kufanya bila kujidhalilisha na familia yako
Asume mtoto nae anamwona mama kwenye luninga nusu uchi kalalia dume....Nasema No.
Kuna movie iliyochezwa na Ray akiwa amevunjika miguu yote kwa ajali, halafu mkewe akawa anamleta mwanaume ndani akiwepo, wanafunga chumba na kufanya mambo...! Je, nina uhakika gani kuwa sio kweli? Kacheki hiyo movie halafu utoe commend. Kwanza nikimuoa msanii, nampiga stop mara moja. Kwaya tu sikubali, sembuse uigizaji, Thubutu...! Kama ni wivu sawa....
Watu kwa wivu ,mweh! Ukiona mkeo ana uwezo wa kugawa penzi nje kutokana na mazingira tu basi ujue huyo si wako bali ni community lady
Unaweza kuwa makini sana pamoja na wivu woote lakini ukajikuta at the end of the day mnaongelea mambo ya coalition governments.Na ukizingatia jinsi si waaafrika tunavyopenda kugawana madaraka tena,muulize Koffi Annan au Mbeki
hapo kwa redi(nyekundu) mkuu nakupa 100 asilimia i mean 200% maana ndo kwanza hata maana kamili ya kwaya huwa inaachwa na kufanya makubwa..ni hoja tu maana kuendelea mie siwezi ila wajuvi watamwaga zaidi..
Mkuu hata kama "you dont care", lakini hiyo hapana , maadili mkuu! si unajua hiyo picha itakuja onwa na watoto nyumbani, halafu watoto wanajifunza kitu gani kwa mama? kama mama anakaa hivyo utalea watoto wa aina gani?arghhhhh..kwani nini cha ajabu hapo??....acha wivu kwa mkeo kaka...kazi hiyo inaleta kipato cha familia....
NI MAONI TU WADAU ILA YAMEJAA MTAZAMO WA KUWAWEZESHA WANAWAKE WASIENDELEE KUWA JINSIA TEGEMEZI