mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Hali mbaya CCM Buganguzi, Mkuu wa wilaya apambana kurudisha Kata kutoka Chadema Agomewa. Nisehemu Alikozaliwa!
Wana JF,
Ukisikia derby kali ni kata ya Buganguzi iliyoseheni watu wanaojielewa. Kata buganguzi imechukuliwa na upinzani mara nyingi tangu kuwepo vyama vya upinzani. Kata hii ndipo anapozaliwa mwenyekiti wa wazazi Rodrik Rutembeka na mweka hazina CDM. Mpaka sasa Mwanaccm Renatus Rumota uenda akaangukia pua kwa kuwa alichaguliwa kimangumashi watu walikuwa awampendi kutokana na kuwanyanyasa akiwa mtendaji wa kata buganguzi. Watu walipigwa viboko vya kutosha.
Awali akiwa kwenye chama chake alikuwa akishindana na mwenyekiti wa ccm kata buganguzi bwana Elmess Andrew Muhazi ambaye alishindwa kwenye kinyanganyiro hicho. Mtinange huo ambao umeiingiliwa na mkuu WA wilaya uenda ukatokea madhara makubwa kwani mkuu huyu analazimisha kuifuta Chadema ambayo ishaingia tayari mioyoni mwa watu.
Katika hatua za awali walifanikiwa sana kufanya figisu kali kwenye uongozi ngazi ya vijiji wakafanikiwa kwa kuwa chadema ilisusa uchaguzi. Sasa wanataka kuwaonyesha kuwa hata kama wamewapiga sana kwenye vijiji hasira zao wanamalizia kwa kumfuta Diwani mtarajiwa wa CCM.
Uenda kusitokee haki maana wamenyongonyea sana na mkuu wa wilaya anapambana kufuta aibu, huku Diwani WA CHADeMa akijiaandaa kufanya Sherehe. Diwani huyu bwana mdogo anawahenyesha sana kiasi kwamba waliwahi kubadirisha umeme wa REA usipite kwake lakini aliweza kupambana nao. Wamechelewesha mradi wa maji makusudi ili aonekane hafai.
Mpaka sasa mnyetishaji anadai wanaangaika kujenga shule iliyobomolewa na upepo mkali yapata mwaka hivi. Ili kituo hicho cha kura kilicho kwenye mazingira ya shule kisionekane kimetelekezwa. Kimetekezwa makusudi kwa kuwa diwani anazaliwa kijiji Kashozi ambacho kinamiliki shule kashozi.