mansoorsaid
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 1,498
- 286
siku mbili zilizopita tulikuwa tunaulizana mbona biashara yetu ya mazao imekuwa ngumu hainunuliwi bei mbovu wenye maduka nao wanalia ukienda sokoni nayo wanalia hela imekuwa ngumu .
tukaulizana hivi watu hawahitaji mahitaji akatokea ustadhi mmoja akasema wale wakina mselem wale mashekhe wakubwa sana wanabakwa serkali haifanyi uchunguzi wapo tu gerrzani mpaka watakapo toka mambo yatakuwa mazuri nilicheka sana je hivyo ni kweli au ndio uchumi wetu unapanda