siku mbili zilizopita tulikuwa tunaulizana mbona biashara yetu ya mazao imekuwa ngumu hainunuliwi bei mbovu wenye maduka nao wanalia ukienda sokoni nayo wanalia hela imekuwa ngumu .
tukaulizana hivi watu hawahitaji mahitaji akatokea ustadhi mmoja akasema wale wakina mselem wale mashekhe wakubwa sana wanabakwa serkali haifanyi uchunguzi wapo tu gerrzani mpaka watakapo toka mambo yatakuwa mazuri nilicheka sana je hivyo ni kweli au ndio uchumi wetu unapanda
neema ni nini? kuna jinsi ya kuprove kwa kuna neema au hakuna. hawa ma ostaz me nawajua hawana mpangilio wanapokuwa wanatoa hoja au ufafanuzi fulani, alichokuwa anatakiwa kjubu ni sababu zipi zinapelekea uchumi kushuka, sio kutoa maelezo ya gerezani, dhambi, wala ubakaji. sidhani kama kuna uhusiano wa matendo mabaya ya jela na uchumi kwa upeo mdogo nilionao ndiyo tu kwa leo