Mkalukungone Mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 3,141 Reaction score 7,205 Apr 7, 2025 #1 Hii shida ya mitandao ya simu imekuwa sikio la kufa kila siku linazuka jipya. Hasa mitandao ya Yas na Airtel ilikuwa shida tupu! Soma Pia: Changamoto ya Mawasiliano mtandao wa Yas Kuna nini kinachoendelea? Maana shida ya mtandao imekuwa kero kila siku. Tumechoka sasa !
Hii shida ya mitandao ya simu imekuwa sikio la kufa kila siku linazuka jipya. Hasa mitandao ya Yas na Airtel ilikuwa shida tupu! Soma Pia: Changamoto ya Mawasiliano mtandao wa Yas Kuna nini kinachoendelea? Maana shida ya mtandao imekuwa kero kila siku. Tumechoka sasa !