Hali na maisha ya mwanadamu ndani ya Coma

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,156
Reaction score
10,974
Habari zenu wana JF, Rafiki yangu aliyeangukiwa na kitu kizito kichwani hali yake ni taabani. Kwa hospito wanatuambia kuwa ameingia kwenye Coma Daktari anaendelea kwa kusema huenda akakaa kwenye hiyo hali kwa muda mfupi wa wiki au hata muda mrefu wa hadi mwaka mzima. Ingawa ukimtizama anakosesha matumaini, lakini unaambiwa hapo alipo ana experience uhai

Mnaojua kuhusu hii kitu kujeni hapa

Je, kuna maisha (Realm) ndani ya Coma?
 
Coma ni hali ya kupoteza ufahamu wa mazingira kwa mda mrefu , hali hii usababishwa na ugonjwa au majeraha makubwa .

Maisha wakati mtu yupo kwenye hiyo ni illusion tu ,humtokea huyo mtu endapo yupo kwenye angalau kiwango kidogo cha utambuzi , ubongo wa huyu mtu huendelea kufanya kazi na kujihisi yupo kwenye maisha fulani ya uhalisia.

Mengne ya kitabibu na ya kimauzauza ya adakadabra atajazia DR Mambo Jambo
 
Mtu akiwa kwenye Coma Anakuwa na Minimal Brain Activity
 
Science na Mystery haziingiliani mkuu..
Yaani metaphysical na science hazikai kwa pamoja..

Labda Tuelezee kimeta.. tuache science au tuelezee science tuache meta
Mkuu, ingependeza tukapata madini kutoka pande zote mbili, si unajua tena sisi ni pipo, huenda tukajikuta kwenye coma tukashindwa kutofautisha kati ya realm ya coma na Real Life
 
Maisha ndani ya usingizi huwa unayaonaje?
 
Habari zenu wana JF, Rafiki yangu aliyeangukiwa na kitu kizito kichwani hali yake ni taabani. Kwa hospito wanatuambia kuwa ameingia kwenye Coma Daktari anaendelea kwa kusema huenda akakaa kwenye hiyo hali kwa muda mfupi wa wiki au hata muda mrefu wa hadi mwaka mzima. Ingawa ukimtizama anakosesha matumaini, lakini unaambiwa hapo alipo ana experience uhai

Mnaojua kuhusu hii kitu kujeni hapa

Je, kuna maisha (Realm) ndani ya Coma?
...Anaweza akakaa kwenye Coma Hata MIAKA MITANO na zaidi. Poleni Sana [emoji120]
 
Back
Top Bottom