Hali ngumu majimboni, wagombea waanza kula kwa mama lishe ili kudanganya Wananchi

Halafu wananchi maskini watampa kura tena
 
Me mwenyewe nashangaa uku kijijin kwetu wagen wamekuwa wengi safari hii tena wanatembea na magari makali waanakuja kushinda kwenye vijiwe vyetu
 
Kweli usanii ushaanza, hukai na wananchi ukipata kura, uchaguzi ukifika unaanza kujishusha na kupiga nao picha kwa nguo chafu za kufanana nao ili ujionyeshe wewe mwanzao, hii mbaya sana, haijalishi uwe chama gani, usanii wa hivi ni ulaghai kabisa
 
Mwacheni ale, ni mshirika wao katika uchumi wa kati..
 
Kama kawaida hapo bado pilau na kofia watu wachukue ubunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…