haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 978
- 2,313
Wazazi wengi wa sasa ni wale waliosomesha watoto kishidashida mpaka wakafika walipofika. kwasasa watoto ndio wanawasaidia huko kijijini waliko au wengine wanaishi nao kabisa.
kutokana na sababu hizo, wazazi sasa hawana sauti ya kuwakemea watoto wao, wapo wanaofahamu kua watoto wao wanafanya kazi zisizo njema kimaadili au kisheria ya nchi, lakini hawana namna kwakua ndio wanawasaidia.
Jambo hili limewafanya wazazi
1. Kulegalega kimaamuzi
2. Kufanya maamuzi yenye upendeleo
3. Kuficha au kufumbia maovu
Ni wazazi wachache sana wenye uwezo wa kuwa wakali kwatabia mbaya za watoto hata kama wana uchumi mbovu.
Kwa mfano, kuna watu wanajisemea" hawa wadada wanaojiuza hivi hawana wazazi", jibu ni wengi wanao na ndio wanategemea kutoka kwa huyo dada.
Ni hayo tu nilioyaona.