joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
MY TAKE; Kuna wale vijana walioamua kuanza kula mbwa na paka baada ya kukosa chakula, huyu dada ameamua kulia ndani ya "Super market" baada ya kushitushwa na ungezeko kubwa la Bei ya unga na Hana pesa, viongozi wapo busy na uchaguzi, hii Hali itaendelea kuwa mbaya kutokana na Kenya kupuuza kilimo cha chakula na kuthamini chai na maua
Tony254
dyfre
Don YF
Nicxie
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app