joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Huyu dada ana pesa nyingi sana. Anazunguka Afrika nzima akihoji watu. Tazama video zake za awali utaona. Na uwache kuropokwa kwamba huyu dada hana pesa. Huyu dada anapanda ndege kila wakati.MY TAKE; Kuna wale vijana walioamua kuanza kula mbwa na paka baada ya kukosa chakula, huyu dada ameamua kulia ndani ya "Super market" baada ya kushitushwa na ungezeko kubwa la Bei ya unga na Hana pesa, viongozi wapo busy na uchaguzi, hii Hali itaendelea kuwa mbaya kutokana na Kenya kupuuza kilimo cha chakula na kuthamini chai na maua
Tony254
dyfre
Don YF
Nicxie
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Skewed interpretation, pambana na your inferiority complex.,MY TAKE; Kuna wale vijana walioamua kuanza kula mbwa na paka baada ya kukosa chakula, huyu dada ameamua kulia ndani ya "Super market" baada ya kushitushwa na ungezeko kubwa la Bei ya unga na Hana pesa, viongozi wapo busy na uchaguzi, hii Hali itaendelea kuwa mbaya kutokana na Kenya kupuuza kilimo cha chakula na kuthamini chai na maua
Tony254
dyfre
Don YF
Nicxie
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hahahaha, huyu dada yeye ndiye aliyeweka video kuonyesha huyo dada hapo "supermarket" akilia kwa uchungu baada ya kuona bei za bidhaa zimeongezeka mara mbili na hawezi kumudu, sio yeye mwenyewe.Huyu dada ana pesa nyingi sana. Anazunguka Afrika nzima akihoji watu. Tazama video zake za awali utaona. Na uwache kuropokwa kwamba huyu dada hana pesa. Huyu dada anapanda ndege kila wakati.
Hahahaha, ukweli unauma Sana, na bado Sana, hadi mtavua nguo hadharani mwaka huu.Skewed interpretation, pambana na your inferiority complex.,
tungewekeza kwenye kilimo cha kimkakati huu ndiyo ulikuwa wakati wetu wa kutoka watanzania. Dunia inakwenda kuwa na njaa ya ajabu.Dunia iko katika hali mbaya kiuchumi
Hata kama ana hela lakini ana portray the reality on the ground. Most people are affected by the ongoing economic hardship hence kuwa na hela does not necessarily mean huwezi kuelezea the plight of the poor kenyans.Huyu dada ana pesa nyingi sana. Anazunguka Afrika nzima akihoji watu. Tazama video zake za awali utaona. Na uwache kuropokwa kwamba huyu dada hana pesa. Huyu dada anapanda ndege kila wakati.
Have you forgotten a research report which showed that employed Kenyans who receive salary of above $1000 per month are less than 9000?.Average salary kwa Kenya almost 1000usd,Tanzania........,nchi zinazoongoza hapa Africa ni pamoja na Morroco, SA,Botswana, Kenya ..,Uganda nayo imo on top 10
If you will sends me the source of your research nitashukuru sana bcs will help us to discuss this topic with facts, tusijadili mchangiaji maana ndio mawazo yake, trying to shut down someone opinions ni umasikini wa kiakili, let's talk mkuuHave you forgotten a research report which showed that employed Kenyans who receive salary of above $1000 per month are less than 9000?.
By the way, how many Kenyans are employed, what about 95% of Kenyans who don't receive salaries?, Why are you then cry openly and loudly in public places like supermarkets?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app