Wustenfuchs
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 313
- 167
Hali ya maisha ya wanfunzi wa SUA ipo matatani.
Hii inatokana na kucheleweshwa kwa pesa zao za kujikimu kutoka loan board. Ni kama wiki ya tatu sasa imepita tangu tarehe rasmi ambapo pesa hiyo inatakiwa kutolewa. Baadhi ya wanafunzi wametishia mgomo kwa kutokuingia madarasani. Lini pesa itapatikana is still a mystery!
Hali inazidi kuwa ngumu kila kukicha.