HALI NI MBAYA SANA TURKANA, KENYA MSAADA UNAHITAJIKA

kidudula

Senior Member
Joined
Jul 29, 2017
Posts
130
Reaction score
107
Nilikua napitia video katika mtandao wa 'YouTube'
Nikaingia kwenye Channel ya 'SimuliziNaSauti'
Nilikutana na video ya kusikitisha sana, Raia wa Turkana wanakufa na njaa.
Serikali ya Kenya angalieni namna ya kuwasaidia hawa Wananchi wenu.
'Link' ya video hii hapa chini

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Bro acha kuzionesha hizo picha. Dunia nzima inaelewa kuwa Kenya ina njaa.
Achana na wale wanaobisha.
 
Tuombe lakini hali ni mbaya hata kwa Tanzania mvua hamna mashamba yanakauka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…