Nasikititika sana kuona kauli kama hizi zikiwa zinatoka kwa kijana mzalendo kama wewe, nadhani jibu lake ni rahisi sana kwani kila matanzania anajua ya kwamba serikali yetu huwa inasikiliza wapiga kelele. Hivyo basi niniyi pamoja na serikali yenu jipangeni vizuri na kuanzisha maandamano ili muweze kusikilizwa.
Na vilevile mna uongozi mbovu sana na nadhani huwa mnapochagua Raisi manaangalia sura au umri, Wenzenu wa SUA wamefungua na wamekaa sikum 4 ya tano jioni bum limeingia, hivyo ulizieni kwao ili mupewe uzofu wa haya mambo