Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Hahaahaaaaa. Huyo ndio mangi bwanaJamaa mmoja aliingia dukani na kumkuta muuza Duka kamtundika panya migu juu na kichwa chini ..ikabidi amuulize bro vip kwanin wamtesa huyo mdudu? Muuza duka akamjibu hana Adabu *mimi nauza pipi chocolate siagi na hata samaki lakin hajala hivo vyote kaenda kutafuna Daftar la madeni*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haaaaaaaaaahaaaaaaaaaaaaahaaaaaaaaaaaaaaaaahahahaha.....ase ampe pen n karatas aandike alokuwa anawadai.